Wednesday, August 28, 2013

JEHOVAH RAPHA (MUNGU NIKUPONYAE)


NA PETER MICHAEL MABULA

BWANA YESU asifiwe ndugu, leo tunajifunza somo linaloitwa JEHOVAH RAPHA yaani MUNGU atuponyae kama ilivyo katika Biblia kitabu cha Kutoka 15:26 katika kiebrania.
MUNGU wako lazima awe MUNGU aponyae na yeye yuko siku zote kwa ajili ya kuponya, jambo muhimu ni kwenda tu kanisani kwenye maombezi katika jina la YESU KRISTO.
[kutoka 15:26]  Biblia inasema
‘’Akawambia kwamba utaisikiza kwa biidi sauti ya BWANA MUNGU wako na  kuyafanya  yaliyoelekea  mbele  zake na kutega masikio  usikie maagizo yake na kuzishika amri  zake Mimi sitatia juu  yako  maradhi yoyote  niliyowatia wamisri; kwa kuwa  Mimi ndimi  BWANA  NIKUPONYAE ‘’  
hapo kwenye neno BWANA NIKUPONYAE  ndipo hasa kwenye kiini cha somo letu na BWANA NIKUPONYAE kwa lugha ya kiebrania ni JEHOVAH RAPHA.
ndugu zangu naomba ufahamu kwamba MUNGU hapendi kabisa kuwatesa wanadamu na magonjwa ni mashambulizi ya shetani na ndio maana kwa kusudi hilo BWANA YESU alidhihilishwa ili kuzivunja kazi za shetani (1 Yohana 3:8) na katika Maombolezo 3:33 Biblia inatuambia kuwa MUNGU hapendi kuwatesa wanadamu.
[maombolezo3:33] ‘’Maana  moyo wake hapendi  kuwatesa wanadamu  wala  kuwahuzunisha ‘’
 
-Uponyaji  hupatikana  pale MUNGU  anapoingilia kati  
  -Miujiza ni  ni  tendo  la  kimungu  ambalo liko  juu ya kanuni  za  kibinadamu [yohana3:2] 
‘’Huyu alimjia usiku akamwambia  Rabi twajua  ya kuwa  u mwalimu  umetoka  kwa MUNGU  kwa  maana  hakuna   mtu  awezaye kuzifanya  ishara  hizi  wafanyazo wewe isipokuwa  MUNGU  yu pamoja  naye  
-Maana  huyu alikuwa ametengwa yaani  najisi  au ni mtu  aliyetengwa  Mbali  na watu 

- ndugu ili upokee uponyaji lazima ujue neno la MUNGU linasemaje juu ugonjwa wako. Na uponyaji sio kupona ugonjwa tu bali hata mambo mengine ambayo unataka yapone hivyo ni muhimu kujua neno la MUNGU linasemaje juu ya ugonjwa, maovu, matendo au hata maisha yako
Mama huyu katika [marko 5:25-34] alisema ‘’nikigusa tu nitapona  yaani alichora picha moyoni  pia [marko  9:23] -ukiweza yote yanawezekana kwake yeye aminiye] maisha  yako  [isaya 53:5
‘’-Bali alijeruhiwa  kwa makosa  yetu Adhabu ya amani  yetu  ilikuwa juu  jake  na  kwa  kupigwa  kwake  sisi  tumepona’’ 
 
-Ndugu mpendwa napenda kukujulisha kwamba BWANA YESU ana nguvu sana na kwa macho yangu nimeshuhudia dada mmoja akipona UKIMWI, kaka mmoja tena ni mzee wetu wa kanisa akipona kifua kikuu(TB) na wengine wengi sana ambao wamepona magonjwa mbalimbali mengi sana na hata wewe unayeumwa hakikisha tu unaende kanisani ambapo wanamhubiri YESU na utaombewa na kupona kabisa maana hakuna ugonjwa ambao kwa YESU unashindikana. Hata kama huna neno la kujua kuhusu ugonjwa wako lakini ile imani tu ya kumwamini BWANA   ya kumwanini YESU ni neno kwani Biblia inasema katika Yohana 6:44 Kwamba ‘’ Hakuna  mtu awezaye kuja kwangu , asipovutwa na nguvu ya BABA aliyenipeleka;  nami nitamfufua siku ya mwisho.’’
-YESU ana nguvu [mathayo 8:5,13]  ‘’YESU  akawaambia  nitakuja  niponye 
KWANINI YESU ALIKUJA DUNIANI ?
Kuna vifo  vya  aina  mbili   vilikua vimetokea na sababu ya BWANA YESU kuja ili ule uhusiano wetu na MUNGU Baba yetu urudi na pia magonjwa na kila mapando ya shetani yaondolewa, tuwe wazima
1-kifo cha kimwili  yaani  mwili kutengana  na roho  
2-Roho na mwili  kutengana na MUNGU milele 
YESU alikua kurudisha haya yaani kwa njia ya kumpa YESU maisha yetu kile kilichoyutenga na MUNGU wetu hakipo tena  
-YESU anamtafuta mwenge imani  mfano  Yairo na watu  waliokuwa wanamsonga YESU katika  [Luka 17:11,19] wengine   wakaondoka  ila  mmoja  aliokoka  9 wakaondoka  baada kupona ila mmoja tu ndio akarudi hivyo ndugu hapa tunajifunza kwamba   kuokoka na miujiza ni tofauti.  Watu 9 walitendewa miujiza lakini aliyeokoka ni mmoja tu Hivyo baada ya YESU kukuponya hakikisha unadumu katika kumwabudu MUNGU pamoja na wengine katika kanisa.
MUNGU akubariki sana na kama hujaokoka nakuomba mpe BWANA YESU maisha yako na hiyo itakuwa ni chanzo cha uponyaji wako wa kila kitu kinachokusumbua.
Ni mimi ndugu yako Peter Michael Mabula.

3 comments:

  1. IJUWE SIRI YA MALI NA UTAJIRI KWA NDAGU NA MAJINI PIA ASILI YAKO.

    KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO TUNAPITIA MENGI ILI TUWEZE KUFANIKIWA LAKINI WENGI WETU KUNA MAMBO MACHACHE SANA WENGI WETU TUNAYADHARAU NA KUMBE NDIO CHANZO CHA MAFNIKIO YETU.

    N.B KWA WALE WAHITAJI WA PESA ZA NDAGU au MAJINI kwa mudamfupi nipigie DOKTA MDIRO +255 742162843

    HAYA NI MAMBO 7 YAKUZINGATIA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFNIKIO

    i) Wazazi wako wakiwa wamekulea mpaka ukawa mkubwa wafumbua macho unawaona akikisha usiwafanye wakajuta kukuzaa asilimia kubwa wazazi wanakuwa na tabu sana ila zile tabu zao ndio zinazokufanya wewe una aminiwa na watu na unaeshimika na kujieshimu

    Kwaiyo jitahidi sana kuwa nao vizuri kuna wengi maisha yao wanaishi kwa shida chanzo ni utofauti baina ya wazazi wao

    Ukiona wazazi wako wanatabu sana usiwajibu vibaya wewe kaa nao mbali ila wape majukumu yao unacho fanya kuwaona nakurudi ulipo apo utaona mambo yako yatakuwa vizuri sana

    ii) JAMBO LA PILI
    Akikisha unatunza uzao wako yani ukijua ni mtoto ni wako basi jitahidi sana kutoa uduma ata kidogo ulicho nacho lakini udumia usiache uzao wako unateseka na njaa wewe una kula maisha aisee fahau

    Kila mtoto wako anavyo kuwa ndio mambo yako yanaaribika usipo udumia kwaiyo ukiwa waitaji kufanikiwa zaidi jali uzao wako

    iii) JAMBO LA TATU
    ukiwa umeoa au umeolewa usitoe talaka au kuomba talaka kabla mwenzio ayupo tayari kwa muda huo fahamu ukiomba talaka au akikupa talaka bila bila sababu ya msingi yeye tu ana matamanio ya kidunia basi anamuda atapoteza muelekeo wa maisha yake

    iv) UKIWA WAPATA PESA
    ukiwa wapata pesa alafu utoi sadaka basi kufikia kwenye ukuu utachelewa sana mana mana pesa badala ya kutoa kwa iyari yako utatoa kwa matatizo kwaiyo jitahidi icho icho kidogo toa sadaka kwa wenye uitaji

    v) USIMZULUMU MTU
    kama wataka kufika mbali kwenye mafanikio yako usimzulumu mtu ata kwa uchache wa kitu usifanye ivyo itakugarimu kiasi kikubwa

    vi) USIZARAH MILA
    ukiwa kwenu kuna mambo ya mila mzimu tambiko jitahidi kufatilia sana aya mambo yanarudisha nyuma sana usipo yawahi mapema

    vii)USIWE WA NAMNA
    1)ikiwa ujafanikiwa jitahidi sana usiwe mvivu kufanya kazi usiwe muhuni usiwe mwenye chuki na asira zisizo za msingi usiwe na tamaa nyoa vizuri vaa nguo za eshima na usiige maisha ya watu.

    KWA MAWSILIANO ZAIDI KUHUSU MATATIZO MBALIMBALI YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA, PETE MALI ZA NDAGU NA MAJINI N.K

    DOKTA MDIRO Call/whatsup +255 742162843.

    ReplyDelete
  2. UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI

    (Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajili ni azina kutoka kwa mwenyezi mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)


    MPAKA MASAA 72(SIKU3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.

    ReplyDelete
  3. HUSIPITE HII SOMA IKUSAIDIE

    Wengi wanajua marazi mabaya ni
    I/CANCER
    ii/SUKARI
    iii/UKIMWI

    Ni kweli ila kuna hili tatizo sasa hivi kila mtu yupo nalo ni

    MSONGO WA MAWAZO. Yaani STRESS hili nitatizo wengi ulipuuzia ila nitatizo kubwa sana na limechukua sana ndugu zetu kwa visingizio kaumwa na kichwa ndio kifo chake kumbe ni msongo wa mawazo

    unapo kuwa na mawazo upelekea kufanya vitu vitakavyo kuletea kila aina ya maradhi au matatizo ukiwa na mawazo unaweza kufanya ngono zembe zikakupa maradhi , ukala vyakula kuisi vinakufariji kumbe ndio unapata matatizo,

    unaweza ukaona una tatizo la kichwa mara kwa mara kumbe tatizo hilo ni msongo wa mawazo sana asari mbaya zaidi ni pale kichwa kuuma mpaka kupelekea mishipa ya fahamu kupasuka sasa hapo ni kifo au stroke yani pararaizi

    sasa jitahidi sana ukiwa na mawazo au kitu chochote kinakuumiza usibaki nacho moyoni mtafute mtu unae muamini mwambie hili akunusuru na matatizo makubwa yatakayo tokea kutokaka na msongo wa mawazo

    ATHARI ZINAZO TOKEA KWA TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO NIKAMA
    1)KUJINYONGA
    2)KIFO CHA GAFLA
    3)KUSHINDWA KUFANYA MAJUKUMU YAKO
    4)MWILI KUWA DHOOFU
    5)AJALI N.K

    KWAIYO MSONGO WA MAWAZO NI TATIZO HATARI ZAIDI JITAHIDI ISICHUKUE NAFASI KWENYE MAISHA YAKO

    KUNA WALE WANZABE WANAKULA NYAMA MBICHI MAJI MACHAFU NA WANAISHI VIZURI TU KWAKUWA SIO WENYE STRESS KAMA SISI

    SISI UTASIKIA KALALA KAFA KAUMWA KICHWA TO KAFA KADONDOKA KAFA KAJINYONGA KAFA YOTE HAYA NI MAWAZO VYAKULA AVIUI ARAKA KAMA MAWAZO YAKIKUZIDI

    1)UKIWA NA UKIMWI UNASHAURIWA USIWE NA MAWAZO MARA KWA MARA

    2)UKIWA NA SUKARI UTAKIWI UKAWA MWENYE MSONGO WA MAWAZO

    3)UKIWA CANCER UTAKIWI UKAWA NA MAWZO MARA KWA MARA

    HUSIKUBALI KUKAA NA JAMBO LIKAKUTESA BURE NIPIGIE SIMU KWA USHAURI NA MATIBABU NI BURE KABISA BAADA YA JAMBO KUWA SAWIA UNANIPA SHUKRANI.
    HUSIKUBALI KUTESWA NA
    MAPENZI,
    UGONJWA,
    UMASKINI N.K
    ZIPO NDAGU NA MAJINI WA MALI NDANI YA MASAA 48(siku mbili) malipo ni baada ya mafanikio karibu UWE na nia pia Kwa hili nataka vijana wanaojitambua na wenye nia kweli sitaki watoto chini ya MIAKA 20 njoo usaidike.

    @highlight Following 𝑭𝒐𝒍𝒍𝒐𝒘𝒆𝒓𝒔. TAWALA ZA MAJINI NA TIBA ZAKE NA NJISI YA KUWA TUMIA millard ayo

    DOKTA MDIRO
    USHAURI NA URAFIKI BURE
    +255 742162843
    piga simu au whatsup

    ReplyDelete